Na mwandishi wetu
Hakuna kitu kinachokera kwenye matumizi ya
computer kama kupokea ujumbe au sauti kuwa kuna file ime- corrupt kwenye
computer yako. Najua wengi sana hatuelewi ni njia gani ya kuweza kutafuta hyo
file na mwisho huishia kubadilisha WINDOWS. sometimes kubadilisha windows
inakuwa sio solution coz unaweza kubadilisha window na bado ukakutana na tatizo
lile lile. Hapa nimekuwekea njia mbili zitakazo weza kukusaidia kutafuta hyo
corrupted file na kuweza kufix tatizo lake.
---> KUTUMIA COMMAND
♧
funga program zote na kisha RESTART computer.
♧ wakati tu
computer imeanza KU -RESTART bonyeza F8 kwenye keyboard. kama utakavyoona
kwenye maelezo kwenye screen. lengo ni kuiingia kwenye SAFE MODE kama utaona
option ya SAFE MODE wakati wa kufunguka basi ingia hapo
♧ baada ya
kukamilika kufuka kwa SAFE MODE nenda kwenye My Computer kisha right click
kwenye Drive ambayo ndio kuna corrupted file (kutokana na ujumbe uliopokea) kisha
bonyeza PROPERTIES ya hiyo drive
♧ bonyeza kwenye
TOOLS kisha utabonyeza kwenye CHECK NOW (inayopatikana hapo kwenye “Error- checking”).
KUMBUKA: itachukua muda kutafuta kulingana
na ukubwa wa hard disk yako
♧ baada ya
kumaliza kuscan nenda kwenye START BAR kisha fungua RUN
♧ kwenye RUN dialog
utaandika ( sfc/scannow) bila bracket kisha bonyeza
OK
Hii ni sawa na njia ya scan now
isipo kuwa hii inaangalia kiundani zaid mpaka zile file ambzo zisingeweza kuonekana
na CHECK NOW
♧ baaka ya
kumaliza hapo ni kufanya system restore
♧ ingia CONTROL PANEL
kisha tafuta sehem ya “Recovery”
♧ bonyeza kwenye
“Open System Restore” kisha fuata maelezo hapo itakuwa umemaliza tatizo lilokuwa
lina sumbua computer yako
---> KUTUMIA SOFTWARE
Kuna software nyingi zipo
ambazo zinaweza kusolve tatizo lako kama hz
- File Cure
- RegCure Registry Cleaner
- PC Tools Spyware Doctor with AntiVirus
2011
Unaweza kuchagua moja kati ya hzo hapo juu
fuata maelezo ya kila moja ili kujiridhisha kwenye ufanyi kazi wake
No comments:
Post a Comment