Kikosi hiki kitapambana na For Mahia Leo saa tisa alasiri huko Nairobi Kenya katika uwanja Wa Afraha.
Na mwandishi wetu
1. Aishi Manula
2. Shomari Kapombe
3. Yusuf Mlipili
4. Paul Bukaba
5. Erasto Nyoni
6. Jonas Mkude
7. Shiza Kichuya
8. Muzamiru Yassin
9. Mohammed Rashid
10. Rashid Juma
11. Adam Salamba
AKIBA:
Ally Salim
Shomari Ally
Mohammed Hussein
Marcel Kaheza
Moses Kitandu
Sunday, June 10, 2018
Ifahamu homa ya chango la uzazi
SULUHU YA CHANGO LA UZAZI
matatizo la maumivu chini ya tumbo huwasumbua baadhi ya wanawake huku vyanzo halisi vya maumivu vikiwa vingi tu.
Maumivu chini ya tumbo au chini ya kitovu huweza kusababishwa na mambo mbalimbali kama tutakavyoona.
Maumivu huwapata wasichana ambao tayari wameshavunja ungo na wanawake watu wazima, ingawa hata wasichana wadogo ambao bado hawajavunja ungo husumbuliwa.
CHANZO CHA TATIZO
Chanzo cha maumivu haya kinaweza kuwa maambukizi, uvimbe au kushikamana kwa viungo vya ndani ya uzazi kunakosababishwa na upasuaji wa tumbo wa siku za nyuma.
Maumivu haya pia yanahusiana na matatizo katika kibofu cha mkojo, mirija ya mkojo itoayo mkojo toka katika figo, matatizo katika mfuko wa haja kubwa na ngiri au henia ya kitovu.
Maumivu haya wengine huita chango la uzazi.
Uvimbe ndani ya kizazi unaweza kuwa fibroid, uvimbe wa mirija ya mayai ambayo inaweza kujaa maji au usaha. Uvimbe wa vifuko vya mayai na uvimbe kati ya kizazi na vifuko vya mayai. Maambukizi sugu ndani ya kizazi ni tatizo kubwa.
Ngiri ya tumbo inaweza kuwa usawa wa kitovu au katika mishono ya operesheni ya siku za nyuma na maumivu haya huwa zaidi nyakati za baridi.
DALILI ZA TATIZO
Maumivu chini ya tumbo yanaweza kuwa ya moja kwa moja ambayo hayana muda wa unafuu wakati wote mgonjwa huhisi maumivu.
Maumivu pia yanaweza kuja na kupotea.
Wengine huhisi maumivu hadi abonyezwe chini ya tumbo hasa anapopimwa na daktari, wengine hupatwa na maumivu haya baada ya kumaliza tendo la ndoa.
Maumivu yanaweza kuwa pande zote mbili, chini ya tumbo yaani kulia na kushoto au katikati tu.
Maumivu ya upande mmoja yanaweza kusambaa hadi mguuni au kumfanya mgonjwa apate shida kutembea hasa anaponyanyuka na kuanza kutembea lakini kadiri anavyotembea maumivu huisha yenyewe.
Hali ya maumivu pia husambaa hadi kiunoni au katika ubavu mmoja kutegemea na tatizo lipo sehemu gani. Mgonjwa husumbuka kwa muda mrefu na huhisi mwili unachoka.
Vipimo vya mkojo havisaidii kupata jibu sahihi la tatizo hili. Kipimo cha Ultrasound kinaweza kionyeshe au kisionyeshe tatizo.
Tatizo likiwa kubwa huhisi mgonjwa ana tatizo la nyonga lakini vipimo vya X-ray, MRI vitakuwa sawa na hata vipimo vya damu havitaonyesha tatizo.
Mgonjwa hulalamika kutumia dawa nyingi za kutuliza maumivu bila mafanikio.
UCHUNGUZI
Tatizo hili linahitaji utaratibu na umakini katika kulichunguza. Vipimo mbalimbali vitafanyika kama vya damu, mkojo, Ultrasound na vipimo vya kuangalia ukeni ili kuona kama kuna tatizo kubwa linalohusiana na sehemu ya ndani ya kizazi.
MATIBABU NA USHAURI
Baada ya uchunguzi wa kina katika kliniki za magonjwa ya kinamama, vipimo kukamilika, matibabu hufanyika.
Tiba itatolewa kwa jinsi vipimo vinavyoonyesha. Inashauriwa kuwahi hospitali na muone daktari bingwa wa magonjwa ya kinamama katika hospitali za wilaya na mikoa kwa uchunguzi zaidi.
Anza leo kutumia virutubisho vya Tiba mbadala kwa Afya yako maana ziko vizur Sana katika mfumo wa uzazi kwa mwanamke,
Usisahau Neplily Sanitary pads mkombozi wa wanawake wengi kwa Sasa Duniani....
Kwa mahitaji ya tiba hizi
Ped hizi za neplily
Au uwakala wa bidhaa zetu ambazo kila siku zinatoa shuhuda za kusaidia wengi
Usisite kuwasiliana nasi
Inbox/Whatsapp 0656459057

Friday, June 8, 2018
Nyota wanaounda team kiba na team samatta ndio hawa?
Na mwandishi wetu
Nyota wa kikosi cha marafiki wa Kiba ni Shaaban Kado, Aishi Manula, Gadiel Michael, Said Ndemla, Adam Salamba, Paul Nonga, Abdul Kiba, Himid Mao, Erasto Nyoni, Agrey Morris, Ibrahim Ajib.
Wengine ni Haruna Niyonzima, Abdi Kassim, Emmanuel Okwi, Abdi Banda, Saimon Msuva, Shaban Kisiga, Uhuru Seleman na Ramadhani Chombo.
Nyota wa timu Samatta ni Juma Kaseja, Kabaly Faraji, Shomari Kapombe, Mohammedi Zimbwe, Kelvin Yondani, Nadir Haroub, Athumani Chuji, Haruna Shamte, Mohammed Samatta.
Wengine ni Tresor Mputu, Thomas Ulimwengu, Farid Mussa, Haruna Moshi ‘Boban’, Amri Kiemba, Athuman Machupa, Henry Joseph, Rashid Gumbo, Mrisho Ngassa na Sultan Kaskas.
Viingilio kwenye mchezo huo utakaochezwa uwanja wa taifa jijini Dar es Salaam Sh2000 kwa mzunguko huku jukwaa maalum ‘VIP’ ikiwa ni buku tatu Sh3000.

Wednesday, June 6, 2018
Google AdSense ni nini?
Na mwandishi wetu
Ni mfumo wa Matangazo kwa njia ya mtandao unaihusisha matangazo kwenye kurasa za tovuti , programu , blogu , majukwaa na huduma zingine za mawasiliano haswa kwenye mtandao .
Google Adsense ina aina 2 za matangazo kuna yale ya maandishi pekee yaani Text na yanayotembelea kama picha na video yote ni mazuri na yote yana gharama zake .
GOOGLE ADSENSE NA MAISHA YAKO
Kwa kutumia Google Adsense unaweza kupata karibu laki 9 na zaidi kila mwezi na ukasahau kufanya shuguli zingine , Adsense inaweza kufunga Akaunti yako muda wowote au blogu yako muda wowote ule usipozingatia Masharti yao , kwahiyo usitegemee sana ,
GOOGLE ADSENSE INAFANYAJE KAZI
Kama unatovuti yako ukiweka matangazo ya mfumo wa adsense utalipwa kutokana na wingi wa watu wanaitembelea tovuti hiyo na jinsi watu watakavyo gonga click matangazo hayo.
Mfano mrahisi ni Bwana JUMA ana kampuni yake inaitwa MAISHA , badala ya kutengeneza matangazo makubwa kwenye magazeti pamoja na kufungua tovuti ataenda kuongea na google au wawakilishi wa google atatoa tangazo lake atasema jinsi anavyotaka liangaliwe kwa mfano idadi ya nchi au maeneo ndani ya nchi husika , Matangazo ya MAISHA yanaweza kuonekana kwenye blogu ya YONA inayoitwa Naombakazi.com na tovuti nyingi za watu mbalimbali zilizokuwa na huduma za Adsense .
Kwahiyo juma atafaidika kwa tovuti yake kutembelewa na watu wengi kutokana na kutangaza kupitia adsense na watu wanaotembelea NAOMBAKAZI kuona kiunganishi cha tovuti yake.
NOTE > Kufuatilia masharti na maelezo mengine ni muhimu sana kwa mfano unatakiwa usiwaambie watu wagonge matangazo yako waache wa gonge click wenyewe ukifanya hivyo unaweza kufungiwa .
SWALI MUHIMU
Je ukubwa wa Tovuti au Blogu au umaarufu ndio kuongeza kipato cha Adsense ?
Jibu ni hapana utaweza kupata mapato zaidi kutokana na jinsi ulivyoweka matangazo yako na jinsi watu wanavyogonga matangazo hayo hapo ulipoweka kwenye kurasa za tovuti au blogu yako
USAJILI WA GOOGLE ADSENSE UKOJE
Wale wanaotumia huduma za Gmail ambayo ni mali ya Google ni rahisi kujisajili ili kutumia mfumo wa Adsense kwenye blogu na tovuti zao unaweza kutembelea www.google.com/adsense
NOTE>Kila mtu anahaki ya kuwa na Akaunti yake ya Adsense na kufuatilia malipo yake mwenyewe na kulipwa yeye.
KUKUBALIWA NA PIN NUMBER
Usajili wa Goolge Adsense hauwezi kukamilika kama huna PIN NUMBER na kujaza vitu vingine vya kuthibisha jinsi unavyolipa kodi , kama uko nchi za ulaya kuna namba unatakiwa kuandika ndio utapewa PIN NUMBER .
Kama uki nje ya ulaya kama Tanzania , unaweza kutumiwa PIN NUMBER kutumia DHL ambapo utaingiza namba hiyo kukamilisha mfumo wa usajili au unaweza kuwatumia google kitambulisho au aina nyingine ya utambulisho kuthibitisha uwepo wapo kama kadi ya benki au passport.
NOTE> Bila pin Number hutoweza kutambulika kwenye mfumo wa google adsense na malipo yako hutopatiwa .
MALIPO YA GOOGLE ADSENSE
Google huwa inalipa wenye Adsense kwenye tovuti zao kila mwisho wa mwezi kwa mfumo wa cheki , benki au western Union kutegemea na nchi ambayo mtu yupo , malipo hulipwa pale kunapokuwa na kiasi cha pesa kuanzia dola 100 kwa mwezi ambapo dola 17 hutumika kama gharama za kusafirisha cheki kama uko nchi ambayo wanatuma cheki .
Kwahiyo unavyofanya kazi hii ya matangazo hakikisha unapata hela nyingi zaidi ili uweze kulipa gharama za benki na usafirishaji wa cheki yako , angalau uweze kuwa na dola za kimarekani 700 kila mwezi .
NOTE > Malipo ya kila mwezi hulipwa mwezi unaofuatia kama yalifikia zaidi ya dola 100 za kimarekani
MALIPO YANAVYOTUMWA
Kwa nchi ya Tanzania malipo ya Google Adsene huja kwa njia ya DHL ambapo hufika kila tarehe 2 kila mwezi , malipo yakifika kwenye ofisi za DHL wateja hupigiwa simu na kupelekewa au kama unaweza kufuatilia mwenyewe kutumia tracking number ya DHL kujua kama mzigo umefika au la .
Jambo la kujua ni kwamba watu wengi hufikiri cheki zinatumwa kwa njia za posta za kawaida hapana ni DHL .
UTARATIBU WA KIBENKI
Unatakiwa uwe na Akaunti kwenye benki yoyote Tanzania.
@softwaretz

Tetesi za usajiri barani ulaya EPL
Na mwandishi wetu
Chelsea inakaribia kumsajili aliyekuwa kocha wa Ufaransa na PSG Laurent Blanc kuchukua mahala pake Antonio Conte. (Express)
Manchester United wamewasilisha ombi la kutaka kumsajili beki wa Sevilla Clement Lenglet, 22.
Raia huyo wa Ufaransa ana kifungu cha kandarasi yake kitakachogharimu £30.7m ili kuondoka katika klabu hiyo. (L'Equipe - in French)
Liverpool inapanga dau la £10m kumnunua winga wa Nigeria mwenye umri wa miaka 22 Moses Simon kutoka klabu ya Gent. (Liverpool Echo)
Leicester inaongoza katika kumsajili kiungo wa kati wa Norwich James Maddison, 21, huku klabu hiyo ikitaka kupewa zaidi ya £20m ili kumuuza raia huyo wa Uingereza. (PA)
Leicester imeanzisha mazungumzo ya kutaka kumsaini beki wa Ireland kaskazini Jonny Evans, 30, ambaye anapatikana kwa dau la £3m baada ya kushushwa daraja na klabu ya West Brom. (Mirror)
West Brom imekataa ombi la £4m kutoka kwa klabu ya Stoke kumsaini winga wa Ireland Kaskazini James McClean, 29. (Birmingham Mail)
Chelsea, Tottenham na West Ham wote wanataka kumsaini mshambuliaji wa West Brom Salomon Rondon, 28, ambaye anapatikana kwa kitita cha £16m. (Mirror)
Kutoka BBC

Subscribe to:
Posts (Atom)