Na mwandishi wetu
Nyota wa kikosi cha marafiki wa Kiba ni Shaaban Kado, Aishi Manula, Gadiel Michael, Said Ndemla, Adam Salamba, Paul Nonga, Abdul Kiba, Himid Mao, Erasto Nyoni, Agrey Morris, Ibrahim Ajib.
Wengine ni Haruna Niyonzima, Abdi Kassim, Emmanuel Okwi, Abdi Banda, Saimon Msuva, Shaban Kisiga, Uhuru Seleman na Ramadhani Chombo.
Nyota wa timu Samatta ni Juma Kaseja, Kabaly Faraji, Shomari Kapombe, Mohammedi Zimbwe, Kelvin Yondani, Nadir Haroub, Athumani Chuji, Haruna Shamte, Mohammed Samatta.
Wengine ni Tresor Mputu, Thomas Ulimwengu, Farid Mussa, Haruna Moshi ‘Boban’, Amri Kiemba, Athuman Machupa, Henry Joseph, Rashid Gumbo, Mrisho Ngassa na Sultan Kaskas.
Viingilio kwenye mchezo huo utakaochezwa uwanja wa taifa jijini Dar es Salaam Sh2000 kwa mzunguko huku jukwaa maalum ‘VIP’ ikiwa ni buku tatu Sh3000.
No comments:
Post a Comment