Usikurupuke kupeleka computer yako kwa fundi,kwa tatizo ambalo unaweza kulirekebisha wewe mwenyewe.
Kama una computer ambayo ukiiwasha inawaka bila kuonesh kitu kwenye screen,tafadhali fuatilia kwa makini maelzo haya ambayo yanaweza kurudisha computer
yako katika hali yake ya kawaida.
kwanza kabisa tatizo la computer yako kutokuonesha kitu (black Screen au dead screen linatokana na sababu mbali mbali.
1. Tatizo kwenye RAM au RAM slots
2. Processor
(ni mara chache sana processor kuzingua, hua hazizingui ovyo ila ikitokea bahati
mbaya,)
3. Graphics card
ni card inayohusika na vinavyoonekana kwenye pc viwe kama ambavyo Vinatakiwa
kuonekana.Kama ikiwa hijaunga vizur, processor ita terminate booting process
4. Inverter
ndio inayofanya screen ya computer yako ionekane.
kama shida ikiwa kwenye inverter, uki connect external screen (desktop au Tv), utaona computer inawaka kama kawaida.
JINSI YA KUTATUA HILI TATIZO:
kabla hujafanya jambo lolote, naomba nikujulishe kuwa computer yako inawaka vizur, ila BIOS haifanyi.
kwa maana kwamba, ikisha power up, cha kwanza kabisa processor hua inafanya check up kujua kama kila kitu kwenye mother board + input
na output system zipo sawa sawia.
processor ikiona shida yoyote ile, haitoendelea na booting(kuwaka). na hapo ita display error kwenye pc yako. kwa kua pc yako haioneshi error yoyote, tunaweza
kuhisi kua RAM inaleta shida kwa sababu, chochote ambacho computer inakifanya,kinafanyika kwenye Random-Access memory.
Kama RAM ikiwa mbovu, basi lazima screen yako haitoonesha kitu chochote. lakini pia pengine screen yako imekufa
(inverter imeharibika au kioo kimepasuka) sasa ili umjue mchawi nani, itabidi ui connect na screen ya nje. screen ya nje inaweza kua TV au projector.
Utachomeka VGA cable au HDMI cable kwenye computer yako na ile Tv yako au desktop ya computer au projector halafu utaiwasha pc yako.
kama screen ya nje ikiwaka, basi shida ni screen, hapo itakulazimu kununua screen mpya au inverter mpya depending on where the problem is.
lakini pia lazima ufanye RAM TEST.
Kama computer yako ina slot 2 za ram, basi zitoe zote na ku test RAM moja moja kwenye kila slot na kuangalia kama itawaka.(nlishawai ku solve tatizo kwa njia hii) kama ikigoma, basi tatizo litakua kwenye graphics card,ni vigumu sana kurekebisha tatizo lililopo kwenye graphics card.
itabidi uipeleke kwa fundi mzuri ili aichome tena graphics card kwa moto mkali.
PLAN B:
1- toa betri na charger, then bonyeza button ya kuwasha kwa sec 30 ili u drain CMOS battery.
2- rudisha betri na charger halafu bonyeza fn + esc na button ya kuwasha kwa pamoja, pc yako itawaka. ikigoma fuata maelekezo ya hapo juu.
Friday, April 27, 2018
Wednesday, April 25, 2018
Baadhi ya custom recoveries supported in android phones
Na Adimu Nihuka Jr
CUSTOM RECOVERY ZILIZOPO:-
1. Team Win Recovery Project(TWRP)
2. Clock Work Mod Recovery(CWM)
3. PHILZ TOUCH RECOVERY
4. CALIV TOUCH RECOVERY(CTR)
DEVELOPERS MBALI MBALI HU BUILD NA KUPORT HIZO RECOVERY KULINGANA NA DEVICES WANAZO ZIFANYIA DEVELOPMENT

Kazi za custom recovery katika simu za andoid
Na Adimu Nihuka Jr
1. KUFANYA WIPE/FACTORY DATA RESET KTK KIFAA HUSIKA
2. KUFANYA FORMATING YA CACHE,DALVIK/ART CACHE,DATA PAMOJA NA INTERNAL STORAGE PIA PAMOJA NA SYSTEM(HII HITWA FULL WIPE YA SYSTEM KTK DEVICE NA ITAIFANYA DEVICE IBAKIE BILA OS NA MARA NYINGI HUFANYIKA HIVI PINDI UNA TAKA KUINSTALL CUSTOM ROM KTK KIFAA HUSIKA)
3. KUFANYA BACKUP YA FIMRWARE HUSIKA KTK KIFAA IWE CUSTOM AU STOCK FIRMWARE KWA AJILI YABMATUMIZI YA BAADAE PINDI CM IKIPATA TATIZO
4. KURESTORE BACKUP ULIYO CREATE KTK INTERNAL AU EXTERNAL STORAGE PINDI CM IKIPATA TATIZO
5. KUBADILI FILE SYSTEM KTK STORAGE HUSIKA MFANO TOKA EXT4 KWENDA EXT3
6 KUFIX CONTENT PERMISSIONS AKA SELINUX PERMISSIONS
7. KUFLSH/KUINSTALL CUSTOM ROMS ,KERNELS,PATCH FIXES AU BOOTANIMATION KTK KIFAA HUSIKA
8. PIA HUTUMIKA KUROOT CM KWA KUFLASH UPDATE_SuperSU.zip FILE
NA HIZO NDIZO KAZI ZA CUSTOM RECOVERY KTK KIFAA CHA ANDROID

Jifunze namna ya kuweka(install) window katika computer
Na Adimu Nihuka Jr
Vifaa
~window image
~flash au memory card
~bootable software
Njia
~download window yoyote unayoitaka 7/8/8.1/10
Au copy sehemu
~extract hyo window file kama lipo in RAR file au in ZIP file
~andaa 4Gb na kuendelea au memory card na card reader au adapter yake ya kuchomekea kwenye computer
~kwenye computer nyingine weka software ya bootable
~ifunge hiyo software then hyo itaifanya flash yako au memory card bootable ni njia rahis kuliko zote ya kuchange flash au memory card kuwa bootable
Ikimaliza utaona
~automatic ile memory card au flash imechange jina na kuanzia bootable alaf heruf na inakua kama ina Ka mshale Ka kijani
~kifuatacho ni ku iweka ile window kwenye hyo memory
~ angalizo
Window file ziweke open zikopi kama zilivyo kwenye hiyo flash usiweke ndan ya folder moja litagoma kusoma
~fungua folder la window then mark all file na setup copy afu nenda kwenye bootable flash au memory card then paste ikimaliza sasa hapo unakua tayari 70% kumaliza
~ nenda kwenye PC ya kupiga window
~chomoke hiyo flash washa computer
~ikiwa inawaka itasoma automatic
Kwa window 7 itaanza window is loading file then mstari unapita
Kwa window 8
Itaonesha icon ya windows
Pia kwa window 8.1 na 10 zinawaka hivyo hivyo kwa kuonesha icon ya window
Ikitoa in case haijasoma
Unaizima computer then ukiwasha chagua options moja kufatana na computer yako coz computer zinatofautiana lakn ww tafuta ina yokupeleka setup au boot manager moja wapo
Hii inafanana na wale ambao washazoea computer inawaka na kushikilia F12 au F 2 au ili window I some hapo watu hawajui kwann tunafanya hvyo hyo ni inakupeleka moja kwa moja kuchoose either oboot kwa CD au USB
Ukishaselect ruhusu I restart short cut ya kurestaart ni
Kushiklia button ya Ctlr na alt na delete kwa pamoja computer ita restart hapo inaziload windows files kiurahis
OK
~ikishamaliza itafunguka na kukuonesha jina la window na kukuomba ui install ww click install
Then itacopy window files na Ku ya expand
Then itakupeleka sehemu ya disk management
Utaformart ili kufuta kila kitu na ile window ya Mara ya kwanza
Then uta INA kuna option ya delete
Hyo itafuta partition ya Mara ya kwanza then ikimaliza utaona option imeandikwa new hapo ndo pakutengenezea partion the utaona kimefunguka kibaa kidogo kina hitaji tarakimu
Hapo utajaza ukubwa unaotaka kwa local disk c ambayo ndo inayotumika kuistal window na softwares so hapo utaandika kama unahitaji GB 10 kwa mfano utazidisha Mara 1000 hapo utajaza 10000
Ukishajaza bonyeza next itajicalculate yenyewe volume iliyobak
Then bonyeza next
Italeta options mbili
1 upgrade
2 custom install
Chagua custom install
Then bonyeza next
Itacopy
Ita expand files
Ita install features
Ita install updates
Then hapo itamalizia completeing installation
Itaomba kujirestart chomoa flash ili isianze upya kusoma window la sivyo utaznguka hapo hapo
Ukishachomoa itajiwasha na kumalizia I astallalation
Then itaomba uset
*Jina
*Time zone
*Password kama unahitaji
Hapo bonyeza next itamaliza hapo utakua ushapiga window
Utabakisha Ku activate
Na baadhi ya window image huomba keys inapowaka kama unazo utaziweka kama hauna utaweka cracks keys lkn ukimaliaza lazima u activate.

Ufahamu ugonjwa wa Tenzi Dume
Kila mwanaume anazaliwa na Tezi dume. Tezi dume siyo ugonjwa bali ni kiungo Kama viungo vingine mwilini. Tezi dume inapatikana katika mfumo wa uzazi wa mwanaume katika shingo ya kibofu cha mkojo. Kazi yake kubwa nikutengeneza maji maji ya uzazi wa mwanaume (shahawa), ambayo husaidia kurutubisha mbegu za kiume zilizo tengenezwa kutoka kwenye Korodani; na husaidia mbegu za kiume kubaki hai kwa muda unaostahili.
Tatizo linakuja kiungo hiki kinapoanza kutanuka. Kiungo hiki kinatanuka taratibu taratibu mnoo. Hili ni tatizo linalowakumba wanaume wengi. Takwimu zinaonesha kwamba kati ya wanaume 10, wa 5 na kuendelea wana dalili za kutanuka kwa Tezi dume.
Ukuaji wa Tezi dume ni ile hali ya chembe chembe hai katika tezi ya kiume kukua bila kufuata utaratibu wa mfumo wa mwili katika eneo linalo zunguka mirija ya kupitisha mkojo na mbegu za kiume. Tatizo hili kwa sasa linawapata wanaume kuanzia umri wa miaka 25 na kuendelea, tofauti na awali lilikuwa miaka zaidi ya 50.
Takwimu kutoka kwenye shirika la CHRP (Centre for Human Right Promotion), zinaonesha kwamba kiujumla kila mwanaume katika maisha yake ana 16% za kugundulika na saratani ya Tezi Dume, mtu 1 kati ya watu 6 analo hili tatizo; 3% (1 kati 33) wanakufa kwasababu ya Saratani ya Tezi Dume. Saratani hii inaua mwanaume mmoja kila baada ya dakika 13.
VYANZO VINAVYOPELEKEA TEZI DUME KUTANUKA
Tatizo la kutanuka kwa tezi dume limekuwa kwa kasi sana hii ni kutokana na mitindo ya maisha wanaume wengi wanayoishi. Pia na elimu ndogo iliyoko kwenye jamii kuhusu afya zao.
Vifuatavyo ni vyanzo vya kutanuka kwa tezi dume:
- Ukosefu wa lishe kamili na Virutubisho muhimu mwilini.
- Uwepo wa sumu nyingi mwilini.
- Kutokufanya mazoezi.
- Matumizi ya pombe kali, na uvutaji wa sigara.
- Uzito mkubwa (uliopindukia, uliokithiri), na Kitambi.
- Kutokukaa sawa kwa vichocheo vya mwili (Hormone Imbalance).
- Msongo wa mawazo (Stress).
- Magonjwa ya zinaa.
- Umri mkubwa.
- Upasuaji wa korodani, kuzaliwa na korodani moja.
- Historia ya Familia (Kurithi).
- Mazingira (Ethnicity).
DALILI ZA KUTANUKA KWA TEZI DUME
Mpaka mtu apate saratani ya Tezi Dume (Prostate Cancer), ujue amekaa na tatizo hilo kwa muda mrefu, si chini ya miaka isiyopungua 10.
Hii hutokana na mrundikano wa mkojo unaobaki kwenye kibofu na kwenye mrija wa mkojo (Urethra) wakati unakojoa; ukiendelea kujirundika kwenye kibofu na mrija; baada ya muda unazalisha “Uric Acid” na ndio inatengeneza saratani (cancer).
Saratani ziko stage nne. Ya kwanza na yapili ukiwahi unaweza kupona; lakini ikishafika stage ya 3 na 4, hazitibiki. Unasaidiwa kupunguza makali kwa mionzi ukijitayarisha kupoteza maisha muda wowote.
Hivyo ukiona dalili mojawapo kati ya hizi chukua tahadhari na hatua mapema kabla hujaharibu mfumo wako mzima wa uzazi wa mwanaume.
a) Dalili za awali
- Kukojoa mkojo uliochanganyikana na damu
- Kukojoa mkojo wenye mtiririko dhaifu. Pia Utakuta Mtu anakojoa Ameshikilia Ukuta.
- Maumivu kwenye mfumo wa mkojo
- Kuhisi maumivu wakati wa kukojoa
- Kuhisi kibofu kimeja mkojo muda wote na ukienda kukojoa mkojo hautoki, lakini ukirudi kukaa unahisi kukojoa tena.
- Homa
- Kukojoa mara kwa mara wakati wa usiku
b) Dalili za mtu aliyeathirika
- Maumivu ya mifupa hasa chini ya mgongo, kiuno na mbavu
- Miguu kuwa dhaifu
- Kushindwa kumudu tendo la ndoa, au Kuhisi maumivu makali wakati unamaliza tendo la ndoa
- Kushindwa kuzuia mkojo, pindi unapohisi kukojoa.
- Kushindwa kuzuia haja kubwa (kinyesi cha maji maji)
- Tumbo kuja gesi mara kwa mara
MADHARA YA TEZI ILIYOTANUKA
Katika hatua za awali, tezi inapotanuka hugunduliwa kwa kupimwa kwa njia ya kidole. Hii ni njia ambayo daktari huingiza kidole kwenye njia ya haja kubwa ili kuweza kubaini kama tezi imetanuka. Kipimo hiki ndicho rahisi kinacho kubalika duniani kote na kisicho na gharama. Lakini kimekuwa kikipata upinzani kutoka kwa wanaume kutokana na imani potofu ya wahusika wa tatizo hili kuona ni udhalilishaji.
Kipimo kingine ni kipimo cha damu. Damu huchunguzwa aina ya protein inayozailishwa na seli za tezi dume, kiitwacho Prostate Antigen (PSA). PSA huonesha kuwapo kwa tatizo kwenye Tezi Dume, lakini kipimo hiki hakina uwezo wa kutofautisha endapo tatizo hilo linamaanisha saratani.
Yafuatayo ni madhara ya tezi iliyotanuka:
- Kibofu cha mkojo kuuma: hivyo hupelekea mkojo kurudi juu, na kuharibu figo na Ini … … n.k.
- Kufunga kwa njia ya mkojo kabisa
- Figo kushindwa kufanya kazi (Kidney Failure)
- Kushindwa kumudu tendo la ndoa (Ndoa zinavunjika)
- Ugumba (Infertility, Frigidity for men)
- Kutokea kwa majipu sehemu ya Tezi Dume
- Kifo

Monday, April 9, 2018
Know the meaning of barcode
The code is geometric patterns, usually vertical lines, which are used to inspect and track properties or products. It is a way to specify the number that reads these numbers for machines.
Initially the code used a row of lines or "pau" along with the existing space between the corresponding lines.
This standard system is called linear or one-dimensional / 1D linear.
Later the two-dimensional code (2D) was initiated, using metaphors,
spots, six corners and other geometric patterns in both sides, are often called titles although they do not apply to pau.
Initially the codes were selected for special barcode readers. Later software applications were found in devices that could read pictures, as well
smartphones and
camera.
Although the earliest code was used to track the railway cars, it became more popular when it came to use on products sold at the supermarket through a classic reading device.
There are two types of codes,
Universal Product Code - UPC) and
International Standard Book Number (ISBN), which must be requested through the official product verification agencies before they are sold.
The codes may be used to monitor the retail product, or to use personal tracking codes and tracking collections or products.
It was brought to you by Adimu Nihuka Jr .. 8/4/2018
Subscribe to:
Posts (Atom)