Na Adimu Nihuka Jr
1. KUFANYA WIPE/FACTORY DATA RESET KTK KIFAA HUSIKA
2. KUFANYA FORMATING YA CACHE,DALVIK/ART CACHE,DATA PAMOJA NA INTERNAL STORAGE PIA PAMOJA NA SYSTEM(HII HITWA FULL WIPE YA SYSTEM KTK DEVICE NA ITAIFANYA DEVICE IBAKIE BILA OS NA MARA NYINGI HUFANYIKA HIVI PINDI UNA TAKA KUINSTALL CUSTOM ROM KTK KIFAA HUSIKA)
3. KUFANYA BACKUP YA FIMRWARE HUSIKA KTK KIFAA IWE CUSTOM AU STOCK FIRMWARE KWA AJILI YABMATUMIZI YA BAADAE PINDI CM IKIPATA TATIZO
4. KURESTORE BACKUP ULIYO CREATE KTK INTERNAL AU EXTERNAL STORAGE PINDI CM IKIPATA TATIZO
5. KUBADILI FILE SYSTEM KTK STORAGE HUSIKA MFANO TOKA EXT4 KWENDA EXT3
6 KUFIX CONTENT PERMISSIONS AKA SELINUX PERMISSIONS
7. KUFLSH/KUINSTALL CUSTOM ROMS ,KERNELS,PATCH FIXES AU BOOTANIMATION KTK KIFAA HUSIKA
8. PIA HUTUMIKA KUROOT CM KWA KUFLASH UPDATE_SuperSU.zip FILE
NA HIZO NDIZO KAZI ZA CUSTOM RECOVERY KTK KIFAA CHA ANDROID
No comments:
Post a Comment