Na Adimu Nihuka Jr
Nimepokea malalamiko mengi sana toka kwa wasomaji wangu wa hii blog kuwa kwa nini baadhi ya simu hushika sana moto na sometimes hujizima na kujiwasha automatical. Leo basi nataka tusolve your problem which hinder you when using your machine ila ujue hapa naongelea simu janja(smartphone).
Sababu zinazopelekea simu yako kushika sana moto ni kama zifuatazo:-
1)Matumizi mengi kupita kiasi.
-Hii hupelekea simu kushika sana moto kwa sababu unapotumia sana simu huwa overheated hii kwa sababu mfumo endeshi wa kifaa chaku huzidiwa uwezo. Hapa unatakiwa usizidishe matumizi kupita kiasi na hii hupelekea simu kujizima na kujiwasha automatical.
2)Battery kuisha au kupita muda wake.
-Hii pia huchangia simu kushika moto(joto) pindi tu unapotumia katika matumizi yako ya kawaida. Hivyo ukiona dalili hizi ujue battery lako limepita muda wa matumizi na unashauriwa kununua lingine ili simu yako ifanye kazi kwa ufasaha.
3)Kutumia apps nyingi kwa wakati mmoja
-Unapotumia apps nyingi kwa wakati mmoja hupelekea mfumo endeshi(operating system) kuzidiwa uwezo na hufanya memory ya simu kutopumua pindi inajiendesha, sasa hapa kumbuka simu lazima itashika joto. Unapotumia simu na endapo message itaingia ungali whatsapp au facebook nakushauri uzime app moja utumiayo ndio huende kwenye app nyingine vinginevyo simu itpata sana joto mpaka utajishangaa.
4)Operating system(mfumo endeshikama vile Android au window) kuzidiwa uwezo.
-Hii huchangia kwa kiasi kikubwa simu yak kushika joto, kwasababu pindi unatumia simu yako yaani mfumo endeshi ndio unaosukuma matumizi yako sasa endapo utazidishia sana matumizi hupelekea simu yako yaani mfumo endeshi kushika joto kwa sababu huwa inazidiwa uwezo pia nakushauri uwe unaitumia simu yako kisha unaipa muda wa kupumzika ili ipoe. Hivi umewahi kufanya kazi masaa 24 bila kupumzika?
5)Kutumia simu ikiwa chaji
-Hii nayo hupelekea simu kushika moto kwa sababu pindi unachaji battery huwasiliana na mfumo endeshi kwa kushirikiana na memory ambayo inahusika na uhifadhi wa chaji pamoja na mfumo mzima wa chaji yaan charging system. Sasa unapotumia simu pindi ipo chaji hupelekea hiyo mifumo kushindwa kufanya kazi kwa ufasaha kwa sababu pindi chaji inainigia katika uhifadhi nawe unaitoa kwa kuitumia hii hupelekea nguvu za battery kushindwa kufanya kazi kwa ufanisi na hitimaye simu hupata sana joto.
NB: Zifuatazo hapo juu ni baadhi tu ambazo hupelekea simu yako kupata joto.
Pia unaruhusiwa kuuliza maswali yoyote yanayohusiana na matumizi ya simu janja au computer ba utasaidiwa kwa kukuandalia mada mubashara. Endelea kuwa nasi katika blog hii ujifunze zaidi.

No comments:
Post a Comment