By Adimu Nihuka Jr
Hope
wote tuko pouwa leo
Nimeona
wengi leo wamezungumza kuhusu shortcuts katika matumizi hasa ya Computer zetu
majumbani, Ofisini na sehemu zinginezo zinazotuingizia kipato
Basi
leo nimeona nije na baadhi ya shortcuts ambazo zitakua msaada mkubwa kwetu sote
Najua
watu wanajua ila napenda mjue zaidi
Kwanza
nianze na hii hapa
INAITWA
DFP TRICK
Ni
trick wezeshi ya kusikia kile ambacho kimo ndani ya document yako badala ya
kusoma document nzima hii itakupa summary ya kilichomo
But
trick hii ni nzuri sana hasa kwa wale wanaotumia Acrobat 6.1 and 7.0
Acrobat
kwa maana ya Adobe reader ki apps wezeshi katika doc ambayo iko katika mfumo wa
adobe reader au acrobat reader kwa wengine huziita ivyo
Kuna
Key wezeshi ya hii mambo ili iende vizuri
Hapa
ndipo linapokuja neno hili hapa “Shortcuts”
Procedures
za kweda nazo ni:-
Utakua
una hold kwa pamoja hizi keys ili upate matokeo ya kinachokusudiwa
Ninaposema
ku hold kila mtu anafahamu kama ni mtumiaji mzuri wa computer kwa maana una
bonyeza kwa pamoja hizi keys ambazo nazileta kwenu hapa chini
- Hold Ctrl
Shift then click b ( Hapa utasikia maandishi ya document nzima)
- Ctrl
Shift then click v ( Hapa utasikia page 1 ambayo iko active au ile ambayo
pointer ipo)
- Ctrl
Shift then click c ( Hapa utakua una resume from previous page ambayo
ulikua unaisoma)
- Ctrl
Shift then click e (To stop)
Basi
sio hizo tu but zipo short cuts ambazo unaweza tumia keyboard bila
kugusa mouse kama wakali wengine hapa walivosema kina adam nihuka, duke na mzee
cyrus wakali wa hizi mambo
Mimi
nawaletea kwa mtiririko makini na safi zaidi
Pale
kwenye kuongezea basi unafanya mambo wakuu
Twende
sawa hapa sasa
Hii
hutumika zaidi kwa wale wanaotumia OS or Windows 7, 8 plus Vista
Unafanyaje
hapa
Twende
sawa
Procedures
- Bonyeza
au Hold Alt + Shift and press Number Lock
Mchezo
unakua kwisha habari hapo kila kitu unatambaa na keyboard as mouse hapo
Kuna
hizi nambazi ambazo zitakuwa kama msaada kwako
Kucheza
na Cursor au Kipanya kwa lugha yetu mama ya kiswazi
Number
na functions zake
6-
Kupeleka cursor kushoto
4-
Kupeleka cursor Kulia
2-
Kupeleka cursor Chini
8-
Kupeleka Cursor Juu
Hizi
namba si zile za juu pale 0-9 hapana hizi ni zile ambazo hupatikana pembeni
mkono wako wa kulia wa keyboard yako ziko nyingi na sign nyinginezo pale juu
Hadi
kufikia hapo unakua umemaliza zoezi zima la kucheza na keyboard kama mouse yako
Pia
kwa wale wanaotumia dell mara nyingi huwa kuna suppertive cursor ambayo wengi
huwa hawaioni
Ila
leo napenda kuwaambia
Dell
nyingi kwenye pads za keyboards pale huwa kuna
'Kanundu”
flani hivi kametokeza kwenye keyboard japo sio zote
Kale
sasa ndio huwa kama option endapo kama Mouse yako imestaki basi unakatumia hako
kama kutumia short cuts utakua umeshindwa au huzijui
So
wengi na mara nyingi kesi hizi zipo sana ( Hadi hapo hope utakua umefahamu vyema)
Sasa
kuna short cut nying sana katika matumizi yetu ya computer
Hii
usaidia sana pindi unapokua na haraka ya kufanya kazi flani bila kutumia Mouse
kwenda na muda
Hapa
naletazile za muhimu sana kuzijua hasa kwa wenzetu wanaopenda sana kutype kwa
Ms word etc
So
hii itakua nzuri na itasaidia sana kwenda speed kwenye baadhi ya mambo
Natirirka
kama ifuatavyo wakuu
Ctrl+X=Cut,
Ctrl+V=Paste,
Ctrl+S=Save,
Ctrl+C=Copy,
Ctrl+B=Bold,
Ctrl+I=Italic,
Ctrl+E=Center,
Ctrl+P=Print,
Ctrl+Alt+Del=Task Manager,
Ctrl+Z=Undo,
Ctrl+Y=Redo,
Ctrl+F=Find,
Ctrl+A=Select All,
Ctrl+H=Find and Replace,
Ctrl+F3=Auto Text,
Ctrl+O=Open Window,
Ctrl+W=Close Window,
Ctrl+F4=Minimize,
Ctrl+L=Align Left,
Ctrl+R=Align Right,
Ctrl+J=Justify,
Ctrl+U=Underline,
Ctrl+N=New Document,
F5=Refresh,
F2=Formula,
F7=Spelling and Grammar,
F11=Style and Formatting,
Kuna hizi hapa wengi tunapenda kuziita
Functions Keys hasa zinatumika sana wakati wa kupiga Window chini n.k
Hapa zika nyingi inategemeana na Aina ya
Machine zenyewe
Kwa Dell ukitaka kuboot from either
flash,Cd's au sehemu yeyote ile ambayo unataka uboot
Utatakiwa u press this key
F8-, F12 n.kinatumika ku boot from Cd's,
Flash n.k
hapa ziko Functions key nyingi sana za
kwenda kwenye BIOS na kadharika
So wakuu wengine mnaweza endelea hapa
nilipoishia aiseee
No comments:
Post a Comment