VIiRUTUBISHO MUHIMU VILIVYOMO KWENYE.
MBAAZI.
Vitamin B1.B9,C.
MADINI :
Manganese, phosphorus, calcium, potassium, copper, magnesium, zinc, iron. Pia Protein
FAIDA ZA MBAAZI MWILINI.
***Inasaidia kuweka sawa pressure ya kupanda kwa sababu madini ya potassium yaliyopo yanafanya kazi ya kuzuia kukakamaa kwa misuli na kuifanya damu ipenye vizuri kwenye mishipa ya moyo. Kitaalamu tunaita (it acts as a vasodilator so it reduce the blood constriction so that's reduces blood pressure)
****Inasaidia katika ukuaji.
Kama tulivyoona mbaazi zina uwingi wa protein na protein inasaidia katika ukuaji na maendeleo mwilini kama cells, mifupa, misuli, mishipa. Pia hutengeneza cell zilizokufa hivyo ni chakula kizuri kwa wajawazito, watoto, wanaonyonyesha na wazee. Pia huupa mwili nguvu.
***Inazuia upungufu wa damu kutokana na iron iliyopo .
Pia folate iliyopo inasaidia kuzuia mtoto kuzaliwa na ulemavu kama mgongo wazi (neural tube defects)
****Huupa mwili nguvu.
Vitamin B iliyopo inasaidia kwenye carbohydrate metabolism hivyo kuzuia mafuta mabaya kurundikana kwa sababu hiyo mwili utakuwa na nguvu.
****Husaidia kinga mwilini.
Vitamin C iliyopo inaleta afya katika chembe chembe nyeupe za damu ambazo zinafanya kazi kama antoxidant (kitoa taka mwilini) hivyo kuufanya mwili kuwa na kinga.
***Afya ya moyo.
Madini ya potassium na kiwango kidogo cha cholesterol yanasaidia kuufanya moyo kuwa na afya. Hivyo kupunguza au kuzuia magonjwa ya moyo.
****Inasaidia katika mmeng'enyo wa chakula (digestive health) yaani inazuia kupata Choo kigumu (constipation)by reducing the strain as well as inflammation.
Huo ni ufupisho tu wa faida za mbaazi lakini ziko nyingi nimejaribu kufafanua katika kiswanglish ili tuelewe wote 😁kwa kuwa terminology za afya kuzitafsiri kiswahili ni shida...
Kwa msaada zaidi kuhusu lishe na ulaji unaofaa wasiliana na Jehsha Health Food and Drink kwa namba 0757295056.au barua pepe jhealth. food @gmail. com.
Afya yako ndio jukumu letu.
No comments:
Post a Comment