Umuhimu Wa Kula Vyakula Mchanganyiko .
(MLO KAMILI).
Ni muhimu kula vyakula mchanganyiko kwa sababu baadhi ya virutubishi hutegemeana ili kuweza kufanikisha kazi zake mwilini.
π₯¦π₯¦mfano wa virutubishi vinavyotegemeana ni
ππ½ππ½ππ½ππ½ππ½ππ½ππ½ππ½
ππMADINI CHUMA NA VITAMINI C :Aina ya madini chuma yanayopatikana kwenye vyakula vya mimea kama mbogamboga za kijani na vyakula jamii ya kunde hufyonzwa kwa ufanisi mwilini iwapo katika mlo huo kuna vitamin C ambayo hupatikana kwa wingi kwenye matunda, mfano chungwa πππ,Pera ππππ,nanasi πππππ,pesheni ,ubuyu .
πππ vitamini zinazoyeyuka kwenye mafuta (A, D, E, na K) hutumika kwa ufanisi mwilini kutegemea uwepo wa mafuta katika mlo. Hivyo basi, ni muhimu kutumia mafuta wakati wa kupika hususan mbogamboga π₯π₯¦ππ₯π
πΆ.
Kwa mawasiliano zaidi kuhusu ulaji bora wasiliana kwa namba 0757295056.Afya yako ni jukumu letu.
No comments:
Post a Comment