Unajua kwa nini watumiaji wa cracked software zinakataa kufanyakazi kwenye computer zenye anti-virus?
Iko hivi Tunatumia Cracked versions za Software husika ambapo cracked means zime kua hacked na kuwekewa loader ambayo ni cracking software yenyewe ina execute code kwa main software na kuifanya ibypass box check au smart card check.
Kisha ina iload software husika na kuifanya ianze kufanya kazi
Sasa ikitokea una active anti virus lazima ata block ile software pamoja na visaidizi vyake kwakua ina behave kama virus sababu kuu ni kua loaders zote ni hacking tool
Ila kama ulinunua box husika ama dongle mfano Nck au miracle box uka connect box ktk pc yako na uka install box software full toka kwa miracle team huto kua na sababu ya kudisable anti virus sababu hutumii cracked software bali ni original software.
Ikiwa na box lake ila kwakua box linauzwa bei kubwa ndio maana watu wana tumia cracked software za box au dongle mbali mbali ambazo zina kua term as virus sababu ya kuwepo kwa ike Loader pekee
Pia iko distributed freely ila zile miracle,volcano,falcnon,nck,z3x zina uzwa pamoja na box lake ambalo lina smart card ndani hvyo uki install tu software ya box husika bila kua na box software haita run sasa wale programmers wana zi hack zile software na kutengenezea loaders ambazo zitakua zina tumika kubypass box au smart card check na kuifanya software kustart bila box na hizo loaders ndizo zinazo kua blocked na kua termed as virus sababu ni hacking tool
No comments:
Post a Comment